Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo.
Mama mzazi wa marehemu Kanumba akijiandaa kuweka ua.
Add a Comment
safari yetu sote, angepata ajari ya gari kama sharo angelaumiwa nani dogo asamehewe na kila mtu ilikua ndo mwisho wake lulu nae anaweza kuwa anasikitika jembe lake kuondoka sie wote hatujui. R.I.P Gwiji la bongo movie.
Mkuu Samwel huyo Mama Kanumba anaweza kabisa kumsamehe Lulu. Kwa nn ishindikane? Unajua siyo vizuri/dhambi kumhukumu mtu kwa kosa usilo na uhakika nalo 100%. Hata kama una uhakika alifanya kosa pia unaweza msamehe.
NDO MOYO UNAOTAKIWA KWA KILA MWANADAMU ROHO YA KUSAMEHE.
Mama kanumba na Lulu mmekuwa wamoja, safi sana.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge