Bondia Tyson kulia akimkabidhi Evander kipande chake cha sikio kwenye mkebe akiwa mlangoni huku akionekana kuwa na wasiwasi.
Katika tangazo hilo la biashara bondia Mike Tyson ameonekana akimrudishia bondia mwenzake Evander Holyfield kipande chake cha sikio alicho king'oa kwa kumng'ata katika pambano lao la uzito wa juu mwaka 1997. Tyson alimwambia Evander maneno yafuatayo:-
‘I’m sorry, Evander,’ Tyson says. ‘It’s your ear.
‘I kept that in formaldehyde.’
Hapo juu Tyson alimuomba msamaha Evander huku akimkabidhi kipande cha sikio lake. Formaldehyde ni kemikali ambayo hutumika kuhufadhi kiungi cha mwili wa binadamu kisiharibike kwa muda mrefu.
Wawili hao walionesha kumaliza tofauti zao mwaka 2009 walipokutanishwa kwenye kipindi maarufu Duniani cha Oprah Winfrey.
Evander akitabasamu baada ya kupokea kipande chake cha sikio
Wakikumbatiana kwa furaha baada ya kukabidhiana kipande cha sikio
Hii ni mwaka 1997 Tyson alipomng'ata Evander sikio na kumng'oa kipande
Video
Add a Comment
Hata mimi Angela that was my last boxing fight to watch up to now
OH CHA UMENIFURAHISHA KUMBE HATUNA TOFAUTI
Hata mimi huwa napenda sana NGUMI, lakini tangu Mike Tyson alipopigwa na Evander, ndio ilikuwa mwisho wangu wa kuangalia ndondi. Kipindi kile ilikuwa nikisikia kuna pambano la NDONDI kati ya Tyson na mwingine yoyote--ilikuwa ni kama nasubiria sikukuu ya Christmas.
Kiukweli ndondi zilikuwa enzi za akina Tyson. Mike "IRON" Tyson--CHUMA.
TYSON KUPIGWA NA EVANDER NILILIA SANA NA MIMI NDO ULIKUWA MWISHO WA KUANGALIA NDONDI NI MPENZI SANA WA TYSON NA PIA NI MPENZI SANA WA NGUMI.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge