Add a Comment
wakenya walishatupiga bao kwa kupokea pato kubwa la wapandaji mlima Kilimanjaro kwani wana strategic action plan nzuri sana kwenye utalii kitu ambacho Kenya wanapokea more than 70% ya wasafiri wote toka magharibi waendao panda Kilimanjaro na kuwaingiza TZ. Kenyan Tour Operators wanatoa package nzuri ya mlima Kilimanjaro ambayo inaunganisha mbuga za wanyama za kwao (Maasai Mara, etc.) na baada ya hapo wanakupelekeni Hotels nzuri sana zilizoko beach za Mombasa, Wami, etc. bila nyongeza ya malipo.
Tatizo hilo tangazo wanaoliona ni wachache na siajabu ni wale wenye blue blood (mabaguzi wasiotaka kusafiri nje ya nchi yao). Sijaliona kwenye tube stations (train stations) za London kwani watu maelfu tunakatiza kwa muda wa kila saa moja kwenda makazini. Wafanye haraka kuweka kwenye tube stations na kwenye airports kubwa za London kwenye terminals zote za Heathrow na Gatiwck airport ambako kunapita mamilioni ya watu kwa siku moja peke yake toka dunia nzima wanaoingia Britain au wanaokatiza (transits) kuingia Europe, kwenda Africa, Americas, Asia, n.k
hatujalipa mabilioni bhana hiyo habari nimeipost nusu tu,ningeweka nzima nzima hapa muone
Kutangaza sio issue..Kama alivyosema Dixon ulizia gharama zilizotumia unaweza ukalia
Utasikia kuwa Tumelipa Mabilioni kadhaa kurusha hayo matangazo.. tehehehehehehee Chezea watu wewe..
Nimeipenda hii
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge