Tulonge

"Life Jackets" za vivuko vya Kigamboni zinapotelea wapi?

  • "Life jackets" zazidi kupungua kwenye sehemu za kuhifadhia ndani ya vivuko hivyo.
  • Haielewei ni nani huzichukua. Inasadikika huibwa. Sasa sijui zikiisha tutaanza kuilamu Serikali?
  • Pia zimetoboka, panya wanahisiwa kuhusika na hilo.

Hii ni moja ya sehemu ya kuhifadhia "life jackets" ndani ya kivuko cha Magogoni. Siku za mwanzo sehemu zote zilikua zimejaa lakini siku hizi zinaonekana hivyo. Sehemu hizo huwa hazifungwi kwa kufuli, nadhani wahusika wanataka kurahisisha uchukuaji wa "life jackets" endapo ajali itatokea.

Views: 430

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on July 9, 2012 at 10:13

Chukua Chako Mapema, we ukisubiri upewe utashangaa.. teheheheheheeee

Comment by Tulonge on July 8, 2012 at 23:26

teh teh teh Kunambi, na kweli wamezihifadhi.

Comment by KUNAMBI Jr on July 8, 2012 at 22:01
vibaka wa kigamboni wanazihifadhi

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*