Mtoto Shabani P. Shaban wa darasa la tatu alikutana na janga hili baada ya kwenda kwa fundi kuchukua nguo zake za shule ambapo ni eneo jirani na mlipuko huo ulipotokea. Mh Mbunge wa Dodoma Mjini David Mallole ameahidi kumlipia ada yake ya shule.
Mbunge wa Dodoma mjini Mh Dr David Mallole, alipoenda kuwatembelea wahanga wa mlipuko wa Petrol katika hospital ya mkoa wa Dodoma,General Hospital na kutoa pole kwa wagonjwa waliopatwa na janga hilo kwa kuwapatia pole pamoja na msaada wa pesa ya dawa kwa kila mmoja
Chanzo:Bossngasa blog
Add a Comment
daa polen sana majeruhi
BIG UP MH MBUNGE WA DODOMA MR DAVID MALLOLE
Mh hii nayo kali
daaah kuna watu wanajua kupenda jamani....sasa ugomvi wako wa mapenzi unaleta hasara hadi kwa wengine bwana.. huyo binti nae inabidi ahojiwe vizuri..
Poleni sana
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge