Tulonge

Mama wa P.Square(Peter and Paul Okoye) afariki Dunia.

Marehemu Josephine Okoye  enzi za uhai wake.

Mama wa wanamuziki mapacha wa Nigeria wanaounda kundi la P.Square (Peter and Paul Okoye) amefariki Dunia juzi usiku baada ya kusafirishwa kwenda nje(India) kwa ajili ya matibabu. Mauti ilimkuta akiwa kwenye matibabu. Mwezi mmoja kwabla ya kupelekwa nje, alilazwa hospitali ya St. Nicholas ambayo ni moja kati ya hospitali za gharama huko Nigeria. Ugonjwa ulio sababisha kifo chake bado haujawekwa wazi.

Ilikuwa ni nguzo kubwa katika kuwashauri wanae hasa kuhusu muziki na maisha kwa ujumla.

Soma zaidi: http://niyitabiti.net/2012/07/psquares-mother-is-dead/

Views: 667

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on July 16, 2012 at 9:54

poleni peter ana paul

Comment by tulamvone mwenda on July 15, 2012 at 12:17
R. I. P mama.
Comment by Mama Malaika on July 14, 2012 at 19:44

Poleni sana...

Comment by Dixon Kaishozi on July 13, 2012 at 15:03

Kazi ya BWANA haina makosa..

Comment by habiba mustafa mlawa on July 13, 2012 at 9:12

Mungu amlaze mahali pema peponi Amin

Comment by MARTHA MSHANGA on July 13, 2012 at 8:45

Mungu awatie nguvu,inasikitisha sana.

Comment by ANGELA JULIUS on July 13, 2012 at 8:38

pole familia yake ndugu jamaa na marafiki

Comment by Tulonge on July 13, 2012 at 8:20

Nyepesi nyepesi zinasema alifariki baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*