kukithiri kwa vipigo kwa waamuzi wa mchezo wa soka hapa nchini hivi sasa,kumefanya baadhi ya waaamuzi wa mchezo huo kutakiwa kujifunza karate ili kujihami pale wachezaji wanapomshambulia.
Mksa wa kupigwa na wachezaji ulimpata mwamuzi israel nkongo katika mchezo kati ya azam fc na young african kwenye uwanja wa taifa ,baada ya wachezaji wa yanga kuona mwaamuzi hawatendei haki ktk kuchezesha mchezo huo.
Siku chache baada ya yanga kutoa kipigo kwa mwaamuzi.nako huko zenj timu ya kikwajuni nayo imemshushia kichapo cha nguvu mwaamuzi baada ya kuona anawanyonga ktk maamuzi yake.ktk sakata hilo la zenj wachezaji tisa wamefungiwa kucheza soka ndani na nje ya nchi.
Wadau wengi wamewashauri waamuzi kususia baadhi ya mechi za timu hizo na wengine wamesema ni fedheha na aibu kwa mtu mzima akikimbizwa ama kupigwa huku watoto na wajukuu wake wakishudia.
Add a Comment
Kama aliwaminya yanga ngoja ale kichapo.sio mbaya kukumbushana siku moja moja kwa makonde kama hivyo hasa kwa mtu(Refa) asiyeheshimu jasho lako uwanjani.!!
nakumbuka siku moja nilikuwa naangalia mechi moja ya mchangani arusha maeneo ya moshono refa anachezesha mechi kiunoni ana bonge la panga, nikauliza kwanini kaweka panga wakaniambia hii timu iliovaa nyekundu wanatoka daraja mbili, (unga limi) kwahiyo bila ya hivyo huyu lefa hatoki salama nikachoka,
hahahaaa.. hilo ni wazo zuri @ Dismas.. kama vipi Mi na alfan watuajiri.. hahahaa
Hahahhahaaaa au mabondia na wacheza karate wangefundishwa urefa pia.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge