Uchaguzi uliofanyika leo Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani wa Kata Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha umemalizika.
Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza rasmi washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA imepata ushindi kwa kunyakua Kata zote Nne kama ifuatavyo:
KATA YA THEMI: CHADEMA 678; CCM 326; CUF 313
KATA YA KIMANDOLU: CHADEMA 2,665; CCM 1,169
KATA YA KALOLENI: CHADEMA 1,019; CCM 389; CUF 169
KATA YA ELERAI: CHADEMA 1,715; CCM 1,239; CUF 213
Vyama vingine vilivyoshiriki vilikuwa ni TLP, CCK na Demokrasia Makini.
Add a Comment
ACHA WOGA@KUNAMBI CHADEMA NI WATANZANIA WANATOKANA NA FAMILIA AMBAZO NA CCM WANATOKA TENA WENGINE BABA 1 MAMA 1 NI VYAMA TU TOFAUTI HATA KENYA WALIJIULIZA ITAKUAJE BILA KANU LAKINI LEO WANAENDA VIZURI NA MTOTO WA MPIGANIA UHURU MUASISI WA KANU YUKO MADARAKANI KWA TIKETI YA UPINZANI, UPINZANI SIO UGOMVI ILA KWENYE UKOMBOZI HAIHITAJI LELE MAMA. MBONA AKINA NYERERE WAKO UPINZANI TENA UTASHANGAA CHADEMA WAKICHUKUA NCHI HATA KINA RIZIWANI,HUSSEN MWINYI NDANI YA NYUMBA.TANZANIA KWANZA.
teh teh teh Kunambi umesomeka
Jaman twende mbele na kurudi mie sio mpinzani wa chama chochote lakn kwa mwenendo wa Chadema wakishika nchi sijui itakuaje?maana wana matusi,maneno ya kejeli,uhasama sasa tuwe makini tusishabikie mambo haya bali tusali na kuomba taifa hili linapoelekea
kinyani chali
mi nadhani ccm hawana chao ooh chadema ni njama zao kutupa bomu kisa wanahofia kushindwa uchaguzi huo wa madiwani kiko wapi ccm chali
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge