Msanii wa vichekesho 'Matumaini' akiwa amebebwa Mgongoni na msanii mwenzake 'Kalunde' mara baada ya kuwasili kutoka Msumbiji ambapo alikwenda kwa shughuli za sanaa na baadae kuanza kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Baada ya kupokelewa alipelekwa hospitali ya Amana kwa matibabu zaidi
Hapa akiwa amebebwa na Bi Mwenda kuelekea kwenye gari


Picha zote na GPL
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge