Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika amesema waziwazi kuwa Rais Kikwete ni DHAIFU na Tanzania ilipofikia ni kwa sababu ya UPUUZI wa CCM.
Add a Comment
mimi naona alikuwa right japo watanzania wengi sisi ni woga woga haufai katika dunia ya sasa ukweli utabaki kuwa ukweli tu hata angesema kwa kumsifia bado ukweli usingebadilika unaona
hawa CHADEMA mimi wananichosha kabisaa!! tumewapa ridhaa huku Moshi watuongoze matokeo yake uchafu umezidi sokoni yaani uongozi umeacha watu wapange bidhaa hovyo, ukienda sokoni parking ni za kusubiriana, fanyeni kazi kwa nafasi tulizo wapa, mambo ya kampeni subirini 2015, mnacchofanya sasa kitawaangusha vibaya uchaguzi ujao tambueni washabiki wenu wengi siyo wapiga kura.
nawapenda chadema ila utulivu, uvumilivu na busara kwao ni zero, ukinyimwa busara wewe mwanadamu maisha yako ni sawa na hakuna kitu.si kwamba naipendelea CCM la hasha bali kauli wanazotoaga chadema si za kiungwana ingawa si zote.
@ Niku na James mpo juu kama dege la OBAMA ha ha ha
MIMI NACHOJUA NENO DHAIFU MBADALA WAKE NI JASIRI SASA WALITAKA ATUMIE NENO GANI JINGINE
mmh kweli kauli ya mheshimiwa sio nzuri mie nashangaa san hivi kwa nini hawa chadema kila siku wao ndio wanakuwa wakorofi hivi mtu akikosea tena kiongozi mwenzio mbaya zaidi ni boss wako kwanini usitafute namna nzuri ya kufikisha ujumbe bila kuleta dharau, hata neno la mungu linasema tuheshimu mamlaka iliyopo maana imewekwa na mungu. chadema mungu awasaidie jinsi ya kufikisha ujumbe wenu bila lawama mna mawawzo mazuri ila jinsi ya kufikisha ujumbe mahali husika bila kukwaza watu mmeshindwa kabisa uongozi sio kihivyo.
kweli Abasi nakubaliana nawe unajua hawa chadema wanataka kuingia ikulu kwa nguvu na fujo ambapo wasipoangalia wataishia pabaya mimi nawapenda ila always wamekaa kuongelea ccm si kitu na mambo kadha wa kadha. Sasa hv bungeni hamna adabuhata kidogo kwani kuna mmomonyoko mkubwa sana wa maadili kwa hao tunaowaita waheshimiwa
Hata Baba akikosea kuna Namna ya kumweleza na si kumtoa Akili,hata kama Myika anadhani yupo right angetafuta namna ya kuufikisha ujumbe na si kum-undervalue President.Issue hapo si udhaifu au nidhaifu ila kejeli ya matamshi.ni mtazamo wangu wana tulonge.
Duuh! hili Bunge la vijana ni nouma
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge