Tulonge

Mgogoro wa uongozi wafunga kanisa Tabata

Katika hali isiyo ya kawaida jeshi la polisi mkoa wa Ilala jijini Dar es salaam limelazimika kupiga kambi katika eneo lililopo kanisa la Morovian Tanzania jimbo la mashariki usharika wa Tabata, kutokana na uwepo wa mgogoro wa uongozi wa kanisa hilo jambo lililowafanya waamini wa kanisa hilo kushindwa kufanya ibada kama ilivyo ada baada ya upande mmoja wa uongozi kufunga milango ya Kanisa hilo na kuondoka na funguo.

Views: 260

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on February 3, 2013 at 1:15

uongozi wa kanisa siku hizi deal. Wanatoana ngeo sababu ya hela. Makanisa yamekuwa biashara na vitega uchumi vikubwa sana

Comment by green ngusa on January 29, 2013 at 15:56

Mi nashindwa kuelewa kwa nini pande mbili zinazoshindana zisifikie muafaka kwa manufaa ya Kristo hao viongozi hawaoni kuto kushuka kwao ndiko kunafikia kumuabisha Kristo wao. Ama kweli kuna wa viongozi walio kwa maslahi yao binafsi wala sio ya yule wanaye mwamini na kumtamka. Pole zao waumini wasio na uongozi wowote wawasaidie viongozi wao wamalize salama.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*