Tulonge

Mke wa Samwel Etoo akiuka maadili ya Kiafrika alipokua akiogelea na Familia yake.

One of the most paid footballers of our time coming out of Africa Samuel Eto was enjoying some pool time with his family and God knows who took these pictures.
This is amazing and at the same time outrageous, the Ivorian wife of Samuel Etoo showed her asset to the world free of charge, what do you think about this African queen?

Views: 1352

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on March 24, 2012 at 14:59

Asilimia karibia kubwa  karibia 98  kwa pande za Afrika  biashara hiyo ya etto na mkewe si katika maadili ya Africa.Hivyo kichwa cha habari hii kimelenga asilimia kubwa ya Watu wa Bara la Afrika,kwa mantiki hiyo katika mizani kama hiyo,ile asilimia ndogo huwa haitizamwi bali inamezwa na asilimia kubwa.

Hata kule pande za Ulaya tunapozungumzia ukosefu wa maadili au tendaji wa vitendo kama hivyo tutakuwa tunamaanisha asilimia kubwa ya jamii ya watu hao,ama uhakika na ukweli utabaki pale pale kuwa  pamoja na hayo bado kuna wengine pande hizo wanaojiheshimu na kujali shakhsia zao, ikiwemo suala la kuzingatia soni.

So:Kwa lugha nyepesi hiyo action ya mke wa etto imevunja maadili ya wa-Afrika walio wengi kiasilimia.   Nukta!!!!

Comment by jemadari mimi on March 24, 2012 at 10:58

Hata vitabu vitakatifu vimeandika tajiri hawezi kuona ufalme wa mungu,kwa mambo kama haya anayofanya etoo.

Comment by jemadari mimi on March 24, 2012 at 10:45

kwa maadili na desturi za hapa tanzania,Etoo na mkewe walipaswa kutambua kuwa wapo na vijana wao ambao  ni wakubwa wakutambua mambo,isingependeza kuona mnafanyiana manaba mbele ya watoto wenu, sasa mnawafundisha nini ,mambo mengine lzm muwe na mfipa wa noma kuyafanya

Comment by eddie on March 23, 2012 at 22:42

Afrika ina makabila na sampuli nyingi za watu, pia utamaduni na desturi za kila namna.

Kichwa cha habari hapo juu sidhani kwamba kuonyesha balcon yake huyo mke wa Etoo ni kuvunja maadili ya kiafrika. Kuna makabila kule Namibia na Swaziland ni kawaida kutembea TOPLESS kama wakiwa kwenye special occasion kama alivyo hapo mke wa Etoo.

Comment by ILYA on March 23, 2012 at 20:55

halafu hii picha hapo akiwa mgongoni mwa mke wake, mbona kama anakula tunda vile maeneo yale!!!!

Comment by ILYA on March 23, 2012 at 20:52

dada manka hii sio Privacy ukichunguza kwa undani zaidi,maana mamambo kama hayo yanafanyika kwa room sio kweupe kihivyo.mambo ya kwa room ni vigumu sana paparazi kuyapiga picha maana yamekaa kiprivacy zaidi.So huyu aliyepiga picha hizi alikuwa na haki kabisa kuwachana picha hizo,hebu tazama hiyo pic pale Eto yuko mgongoni mwa mu-pe-nzi wake,tena kakaa kw apozi kabisa anasubiria picha ipigwe kuna Privacy hapo.enewei,mambo ya ulaya hayo.

Comment by eddie on March 23, 2012 at 18:41

Wake za watu maarufu sio wazembe kwa kujitangaza! Huyo angekuwa na matiti aina ya "malapa" asingeyaanika hapo juani!

Unaweza ukakuta baada ya muda si mrefu watamchukuwa kwenye matangazo ya sidiria!

Comment by manka on March 23, 2012 at 10:29

huyu aliyepiga hii picha naye kihere here, nini kuingilia privacy za watu? kama hawakuwa na watoto wala watu wengi mi sioni ubaya hapo. picha ya chini kukiwa na mtoto naona amevaa bikin.

Comment by Bonielly on March 23, 2012 at 9:58

mambo ya mane, utasahau ulikotoka to, uanze kuoga na misuruali wakati wenzio wanaoga kwa kujiachia,

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*