Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hussein Machozi ameelezea kisa cha kudhaniwa amekufa kupitia Clouds FM alipokua akifanyiwa interview. Alijeruhiwa akiwa uwanjani akicheza mpira na kupoteza fahamu kisha akakimbizwa hospitali ambapo alifanyiwa vipimo vyote na kuonekana amefariki. Alipelekwa Chumba cha kuhifadhia maiti. Muuguzi wa zamu alipokua akitaka kwenda kumchoma sindano ili asiharibike alikurupuka. Sikiliza zaidi hapo chini.
Add a Comment
Mmh! hiyo kali!
Mmmmmh mi nahisi ningeshtuka na kuona maiti na mimi nimelala hapohapo ningezimia na ndo ingekua nimekufa kbs kiukweli, teheteheteheeeeeee
Mmh! hilo balaa mkuu, yani ulisha wahi kulazwa na maiti chumba kimoja.Hiyo kali
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge