Tulonge

Msanii maarufu wa Filamu Nigeria 'Mercy Johnson' ajifungua mtoto wa kike

Msanii maarufu wa filamu Nigeria, Mercy Johnson amejifungua mtoto wa kike juzi tar 30. Mercy alijifungua mtoto huyo huko USA ambapo alienda mwenzi mmoja uliopita kwaajili ya maandalizi kabla ya kujifungua.

Itakumbukwa msanii huyu aliwahi kuja Tanzania kwa mualiko wa Marehemu Steven Kanumba na kucheza baadhi ya filimu hapa Tanzania.

Moja ya filamu Mercy aliyoicheza na Kanumba akiwa Tanzania ni Dar to Lagos

Views: 589

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by David Edson Mayanga on January 1, 2013 at 13:49

 Dear Colleagues

If God moves us from January to December, He can move us from shame to fame, from insult to results, from sorrow to glory, disgrace to grace, labour to favour, mockery to victory. May God raise you from your all impossible angles to victorious time. May he bless you forever. I wish you a HAPPY NEW YEAR 2013

Lets strengthen more business, professional, and/or social relationship for mutual success in 2013.

Thank you and best regards
David Edson Mayanga
Managing Director

Neem Salha Company limited

+255787550061

davidmayanga@gmail.com

Comment by David Edson Mayanga on January 1, 2013 at 13:43

KAKA BADIRI FIKRA NA MAWAZO YAKO KUTOKA ANALOGIA (CCM) NA KUHAMIA DIGITAL (CHADEMA)OLE WAKO UKAWA UMEKOMALIA KTK ANALOGIA(CCM)2015 INAZIMA.

Comment by Tulonge on January 1, 2013 at 6:59

Hongera binti kwa kuujaza ulimwengu. Sijui nani tena ataibuka na kuwaleta wasanii wa Nigeria huku Tz.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*