Tulonge

Msanii Ney wa Mitego akishoot video yake mpya makaburini

Hii ni moja ya picha zikimuonesha Msanii wa Bongo Fleva 'Ney wa Mitego' akifanya video ya wimbo wake mpya uitwao 'Wamenichokoza'. Ameamua kufanya video hiyo makuburini ili kupata kitu tofauti ukilinganisha na videos nyingine.

Views: 1854

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Lucie on February 12, 2013 at 15:30

Ye mwenywe zombi sa cjui km atakimbia mazombi wenzie? @christer Huyu jamaa anaudhi sn

Comment by Christer on January 17, 2013 at 8:40

Teheheheee dogo umenichekesha sana eti Tzania tuna hazina ya wakimbiaji, ila hapo hao waliolala wakiamka kwakweli hakuna atakayebaki sana sana watakimbia waanguke wavunje miguu tu.

Comment by Mama Malaika on January 16, 2013 at 16:37

Jamani jamani... watu hawana hishima hata kwa wafu, makaburi ni sehemu ya wafu na inapasa ihishimiwe.

Comment by careen mshindo on January 16, 2013 at 16:01
jamani huyu msanii anachanganyikiwa...mara anawatukana wenzie,mara makaburini...sijui anakitafuta kitu gani...from the first day namuona anaingia kwenye hili game...namchukia mpk leo...i short sujawahi kumpenda....
Comment by Tulonge on January 16, 2013 at 15:27

Hahahhhaaa Dixon umenena, maiti wakifufuka hapo ndo utaamini kuwa Tanzania tuna hazina ya wakimbiaji ambao wanafaa kushiriki hata kwenye Olympic

Comment by Dixon Kaishozi on January 16, 2013 at 15:06

Tehehehee... hao jamaa wakiamka kiukweli hakuna atakaye baki...

Comment by Alfan Mlali on January 16, 2013 at 14:06

hahahahahahahahah..@KunambiJr umenichekesha sana ila umeongea ukweli mtupu

Comment by KUNAMBI Jr on January 16, 2013 at 10:57

Wabongo badoooooooooooo sanaaaaaa,yaani ukiangalia Thriller ya M Jackson,hakufanya makaburini alitengeneza mazingira ya kufanya ionekane kama kaburi,sasa huyu mwehu wenzie wamelala hapo,hajui kama wanapata marungu huku chini,yeye anaenda kuwaletea fujo,isnt fair kabisa.

Comment by Tulonge on January 16, 2013 at 9:59

Mmhh! halafu ilikua giza, hata uoga hana.Ngoja tusikilizie hiyo video.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*