Tulonge

Msanii Nick wa Pili atunukiwa Shahada ya Pili (masters) UDSM leo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Nick wa Pili kulia ambaye ni mdogo wake msanii Joh Makini akiwa kwenye picha ya pamoja na rafikiye baada ya kutunukiwa Shahada ya pili ya Maendeleo katika chuo kikuu cha Dar es Salaam leo.

Dj Choka kushoto, Nick wa Pili na Joh Makini

Nick wa pili katikati akiwa na wahitimu wenzake

Nick akihojiwa na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo.

Tazama video ya Nick na Joh Makini hapo chini

Nikki wa Pili Feat. Joh Makini - Higher

 

 

Picha zote na Mdodosaji Blog

Views: 1927

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*