Zola D ni msanii wa Bongo Fleva, Bondia na pia ni mdau mwenzetu hapa tulonge. Jana aliamua kuanika pesa zake ndani ya mtandao wa kijamii wa facebook na moja kati ya comment zake ilisomeka hivi:-
"WATAKE WASITAKE HAAA HAAA SAIZI WAMEANZA KUNIITA FREEMASON SI UNAJUA WABONGO KWA USHAMBA"
Mdau unalizngumziaje hili?
Add a Comment
Ushambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nabaki kutabasamu na comments zenu. Haya Dismas na wewe ule mgodi bado tu haujacheua??
WASANII WA BONGO NI MASIKINI SANA NDO MAANA ANASHOBOKA ANGEKUWA GIGA,50% SI ANGETUSUMBUA NI MILIONI KUMI NIMEHESABU HANA MAANA ANATUDHALILISHA.
NI MSHAMBA KWELI MAANA WENYE PESA ZAO HAWAONESHI KAMA BAKHRESA, LOWASSA, MANJI, MFURUKI NA WAO WAKISEMA WAONESHE HUYU JAMAA ATATUPIA WAPI HIZO ELFU TANOTANO ZAKE ! HUTO TUBUNDA TUNGEKUWA DOLA JE SI ANGEUMWA?
HUYU JAMAA NDIE MSHAMBA KUANIKA PESA HIVYO KAMA KATOKA KIJIJINI JUZI BWANA
me nasema na ww Dis katafute zako acha kupiga watu kabali.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge