Tulonge

Mtaa wa Congo DSM wafurika kiasi hiki kufuatia maandalizi ya X-Mas

Hivi ndivyo mtaa wa Congo Kariakoo DSM ulivyo furika leo kufuatia maandalizi ya sikukuu ya X-Mas. Ni kelele mtindo mmoja, kila mtu ananadi bidhaa yake. Inafikia wakati huelewi ni bidhaa gani inanadiwa, bali ni kelele tu. Maana kila mtu anapayuka kwa nguvu ili asikike kuzidi mwenzake.

Kama ilivyo ada wizi haukosekani eneo kama hili. Kila mara lazima usikie mtu akilalamika kuibiwa simu n.k. Hii ndiyo Congo, ukifika kuwa makini.

Views: 1131

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Chikira Chikira on December 18, 2013 at 20:07

Haya ni mambo ya Xmas!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*