Tulonge

Mwakyembe afanya ukaguzi wa ghafla wa tiketi za mabasi ya mikoani

Waziri wa Uchukuzi,Dr Harisoni Mwakembe afanya ukakuguzi wa tiketi ilikubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli zakusafiria katika kipindi cha Xmass na mwaka mpya,badhi ya mabasi yalikamatwa nakuamuliwa kurudisha nauli zilizozidi abiria wao.zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri katika eneo la Visiga mkoani pwani na kila basi lilozidisha nauli lilitozwa faini ya shilingi laki mbili na nusu.

Via: othmanmichuzi.blogspot.com

Views: 830

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on December 28, 2013 at 20:11

Tatizo watu wanapeana kazi kwa kujuana. Mjomba katoa kazi kwa mtoto wa dada yake, jamaa katoa kazi kwa mdogo wa mke wake. Mtu wa namna hiyo akikosea si rahisi kuadhibiwa, ndio maana watu wanaboronga makazini kwa sababu wanajua hakuna wa kuwawajibisha.

Comment by eddie on December 27, 2013 at 20:44

Mwakyembe ni uwembe na jembe kwa pamoja!!

Mungu akubariki!

Comment by Mama Malaika on December 26, 2013 at 6:32
Poleni sana Maembe79. Sio hapo tu, ukizunguka wakuta maafa karibu Africa yote. Tatizo wengi wanaingia kwa office ili wapate mishahara mikubwa
Comment by maembe79 on December 26, 2013 at 2:12

Mwasema vyema  MGAO SIAMINI,P  na  Mama Malaika,  

Kazi nzuri hapa kwenyu inamaanisha hata ajari mwaweza kuzithibiti.Tatizo kubwa hapa kwetu Nairobi, kenya . maafa kila wakati hata waogopa kuwa kwa hizi gari [matatu na mabasi]

Comment by Mama Malaika on December 25, 2013 at 11:15
Mungu ambariki Dr Mwakyembe!
Comment by MGAO SIAMINI,P on December 25, 2013 at 8:44

safi sana mwakyembe mkiondoka ofisini mtatupendeza na kutuokoa watanzania

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*