Mtoto Baraka Deogratias mwenye umri wa miaka tisa ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kitunda jijini Dar es Salaam,amedaiwa kuuawa na baba yake wa kambo baada ya kumpiga kwa kosa la kutosahishiwa baadhi ya madaftari yake ya shule na kusababisha mtoto huyo kupoteza maisha.
Add a Comment
Hilo libaba likatili sana halina upendo hata kidogo
Nimepata jibu ndugu yangu.. tutambue mtoto wa mwenzio ni wako pia!!!!
Dixon hilo ulilokua unaliwaza wakati unaandika hilo swali, ndo jibu lenyewe
Maskini... Swali ninalo jiuliza.. kwanini iwe kwa mtoto wa kambo ? !! Mmmh
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge