Tulonge

Ngumi moja tu ya Nabii Josephat Mwingira lazima ukae.

Tumekua tukiona styles mbalimbali za watumishi wa Mungu wakituzitumia kutoa mapepo waumini wao. Hii ya Mwingira nimeipenda sana. Anarusha ngumi ambayo haikugusi lakini lazima uanguke. Nadhani mabondia wetu wa Tanzania wangemuomba Mwingira awafundishe aina hii ya ngumi. Nadhani tungerudi na Medali toka London kwenye Olympic.

Views: 826

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on August 17, 2012 at 10:34

Dawa yake ni Cheka!!!!! atamdunda mingumi mpaka a-dead, asidanganye watu

Comment by manka on August 16, 2012 at 12:48

utapeli mtupu!! sidanganyikiiiiii ng';''''ooooo.

Comment by Samwel Mnubi Masatu on August 16, 2012 at 0:33

duu! watu ni wachunguz na wabunifu,mpaka mnachunguza ngumi za wachungaji.hata mm huwa najiuliza sipati jibu, mbona yesu aliombea watu kwa utulivu na unyenyekevu mkubwa!,KUNA KITU NDANI YAKE KWENYE HAYA MAOMBI YA NGUMI 

Comment by Gratious Kimberly on August 15, 2012 at 13:42

Puuuuuuuuuu!!  hakunaga   hiyo....hahahahahaaaa

Comment by Tulonge on August 15, 2012 at 13:34

Wana masumbwi wa Tanzania inabidi waongee naye ili awape training teh teh teh

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*