Tulonge

Ni kweli huu ndiyo utakua muonekano wa daraja la Manzese?

Picha hii imekua ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii mingi wakidai kuwa huu ndiyo utakua muonekano wa daraja la Manzese. Nimejaribu kufanya uchunguzi nikagundua hii ni project ambayo ilipangea kufanywa na wachina huko Thailand mwaka 2010.

Binafsi sijawahi sikia serikali ikisema kuwa huu ndiyo utakua muonekano wa daraja la Manzese na Morogoro road kwa ujumla.

Kama kuna mdau anafahamu mengi kuhusu hili atujuze. Tusije tukawa tunadanganyana.

Picha zifuatazo ni sehemu nyingine za barabara hiyo

Views: 1551

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on January 14, 2013 at 14:57

Mmmmmmh

Comment by Dixon Kaishozi on January 14, 2013 at 9:55

Tehehehee.. Keep dreaming jamani.....

Comment by dauson katuritsa on January 12, 2013 at 12:45

hii itakuwa kama nilivyoona san fransisco Calfornia, tuombe Mungu maana inawezekana, sijui.!!!!

Comment by Severin on January 11, 2013 at 19:08

Duuuh! ikiwa hv itakua bomba sana wadau

Comment by David Edson Mayanga on January 11, 2013 at 18:18
yani hapo nimfano itakavyokuwa njia hizi za rami kido tutajaribu lakini siokivile kwanza wameshakula commission yaujenzi hadi pesa yakujengea wewe utaona tu rami hiyo itajengwa hadi miaka kumi
Comment by Tulonge on January 11, 2013 at 18:12

Unacheza na cc watanzania, hapo watu watajaribu kukwaruza hizo barabara waone nn kitatokea. C unakumbuka uwanja mpya  wa mpira tulivyo ufanya. Vunja viti, vunja vyoo, kata magogo hovyo hovyo vyooni

Comment by David Edson Mayanga on January 11, 2013 at 11:29
Mr.Chaoga yani wewe ulikuwaukipenda tunavyo ibiwa? ila ndg yangu sijajua kama serikari yetu itazitunza barabala hizo maana maisha yetu yakibongo bwana
Comment by chaoga on January 11, 2013 at 10:28

SASA SIJUI TUTAIBA VIPI SIMU DIRISHANI....

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*