Tulonge

Ni kweli wanasiasa wana kazi nzito(nyingi) za kufanya?Hivyo huwapelekea kusinzia hovyo vikaoni.


Politicians have very tough job. They have to solve a lot of very difficult problems, so there is no time to sleep. They have nothing else to do but to sleep at the meetings.Views: 848

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on February 10, 2012 at 11:01

jamani usiku wanakuwa na kazi nzito jamani ndio maana mchana wanakuwa na usingizi, si unajua kwamba wakuu hawa wakiwa kule mjengoni wadada zetu wale wa nanii wanaenda kutengeneza mpunga kidogo,,,,,

Comment by Mama Malaika on February 9, 2012 at 23:58

Ha haa haa haaaaaa...... eti bora Tanzania bunge la wasinziaji. IL-YA unachekesha sana weye.

Comment by ILYA on February 9, 2012 at 23:28

Duh,lakini nao wamefanya vibaya,siwangeuna na kutizama soka hilo la Porno nje ya bunge,kwanza wamedharau bunge,wamelifanya bunge kuwa ukumbi wa kutizama porno,hivyo ni bunge la Porno,hahahah.Bora sisi Tanzania tuna bunge la wasinziaji sio bunge la Porno.

Comment by Mama Malaika on February 9, 2012 at 23:18

IL-YA hata kama ndio muswada basi kichele kimewatokea puani na majimboni kwao wanatakiwa kuachia ngazi ya uwakilishi. Ha haa haaa 

Halafu mmoja wao hao wanaume alikuwa ni waziri wa wanawake na maendeleo ya watoto. Patamu hapo kwani vyama vya siasa vinam-vutano mkali sana kule hadi wawakilishi huwa wanatiana makonde ndani ya kikao cha bunge..

Comment by ILYA on February 9, 2012 at 23:04

Aaaaaaaa,wamewaonea,siwalikuwa wanatizama kwanza ili waweze badae kupitisha muswada wa kutangaza marufuku ya kuuza cd za porno madukani,sasa watazuia vipi kama mamambo yenyewe hawayajui yanavyokwenda,na ukizingatia wao ni wabunge.Lazima kwanza waonje...

Comment by Mama Malaika on February 9, 2012 at 22:44

Dismas hao ndio wana siasa wa wetu, na bora hao wanaosinzia. Umeisikia ile ya wabunge walioshikwa wanaangalia pornography (picha chafu) kwenye smartphone wakiwa ndani ya kikao cha bunge? Wamebambwa kupitia CCTV zilizo ndani ya jengo la bunge huko nchini India na jamaa watatu (wote mawaziri) jana wamejiuzulu. Imeleta mzozo sana nchini India na baadhi wanasema bunge zima livunjwe...

 

Comment by Mama Malaika on February 9, 2012 at 22:26

Ha haa haa haa haa... wewe IL-YA.

Halafu picha ya mwisho hapa chini ya uncle Bob wa Zimbabwe ndio hatari tupu, maana yeye ndio raisi wa nchi na anasinzia hao wawakilishi ndio itakuwaje? Ha haa haa

Comment by ILYA on February 9, 2012 at 22:23

Ukiwauliza kwanini mnalala bungeni,wanakwambia tulikuwa tunatafakari!!! Tehtehtehteh

Comment by ILYA on February 9, 2012 at 22:22

Mrema alilala mpaka udenda unamtoka,iochunguze vizuri piki hiyo utacheki udenda unasalimia Ardhi!!!Hhahahaaha,halafu huyu nae alikuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania.

Comment by ILYA on February 9, 2012 at 22:20

Ajabu sana,halafu wakitoka hapo wanadai eti waongezewe posho maana wana kazi nzito.??!!Hapo sasa wananchi mnachagua wawakilishi wakuwakilisheni Bungeni,mnatulia home mkidhani mna wawakilishi kumbe mna wasinziaji?Hivi namna hii kweli Taifa litajengwa liwe na maendeleo.

Halafu huyu Mugabe nae inaonekana Lugha ya kiswahili imekuwa ngumi kwa,Kiswahili kinampa tabu inavyoelekea,tena anasaidiwa kutafsiriwa lakini bado analala.!!!! Ila kwa kuwaponda wazungu halali na kuwanyanganya Ardhi halali.hahaahaha

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*