Tulonge

Nigeria: Kijana wa miaka 28 afunga ndoa na mzee wa kizungu wa miaka 71

In a wedding ceremony at Ikoyi registry, Lagos, a 28-year-old Nigerian man has tied the knot with a 71-Year-Old European woman. Despite the 43 years difference in their ages, the couple expressed they got married because they are deeply in love. However, many Nigerians are saying this wedding maybe for other reasons but not love.

Views: 955

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on February 28, 2012 at 15:54

huyo dogo kunakitu anataka hapo si mapenzi huyo mbibi umri umekwenda, hakuna mapenzi hapo,

Comment by manka on February 28, 2012 at 9:35

hahahaaa mama malaika umenifungua macho! vp kibabu kinachooa binti mdogo toka africa? naye anafaidika na huduma ulizozitaja? naomba nidadavulie.

Comment by Mama Malaika on February 25, 2012 at 23:43

Ha haa haa..... na hicho cha 99yrs utakikuta tayari kinaishi nyumba za kulelea wazee (nursing homes) hivyo usahau kabisa bora utafute dogodogo kwani huko wanaokubaliwa kukaa ni wazee tu. Ha haaa

Comment by Mama Malaika on February 25, 2012 at 23:41

IL-YA......... Ujue wageni wengi ambao wamekuwa wakiingia UK ni rahisi sana ku-abuse benefit system. Kuna watu wanaingia nchi hii hawafanyi kazi na wanakula bure na kulala bureee. Hivyo mtu unapofunga ndoa na mwanamke mzee (pensioner) basi umeula kwani rahisi sana kuwa kula kulala. UK government inakupa kula bure (posho ya bure kununulia chakula), na kama ni nyumba za sirikali basi hawalipi kodi, bado bills zote za maji, umeme, sirikali inawalipia. Na bado mume anaweza pata ticket ya public transport (daladala, trams, train, etc.) kupitia mkewe (Senior Citizen). Pia unapooa pensioner au mtu asiye na kazi (fulltime) kuna allowance kibao na faida kibao mume anapewa kuanzia elimu ya bure universities hadi study materials, transport allowances, etc. na mengine mengi. Na mume aki-divorce mkewe bado ataendelea kulishwa na government...

Na mume akipata karatasi na kuacha mkewe mwingireza anamleta mkewe toka Africa na watoto wake wote na government itaendelea kumlisha yeye na mkewe wake huyo mpya aliyemleta. Hiyo ndio maana wengi wakimbilia UK mkwe wangu IL-YA...  elimu ya watoto wako bure na ni ya uhakika, huduma ya afya bure na ni bora kuzidi Africa, na unapokuwa na idadi ya watoto wengi na ndivyo unavyozidi kufaidika kwani posho yazidi ongezeka.

Comment by ILYA on February 25, 2012 at 23:36

Aaaaaa,mkwe basi kama ni hivyo hilo bonge la dili,na nadhani anae oa kibibi kizee zaidi ndiye anaefaidi zaidi hizo huduma.Itabidi ndugu mimi nitafute kile kibibi cha 99yrs,naona kabisa kisha natinga zangu UK.Hahahahaha,watanikoma.

Comment by ILYA on February 25, 2012 at 22:17

Ala!,kumbe mkwe iko hivyo,imetulia sana.lakini na hao vijana nao ni Nouma,wanakwenda UK kufanya nini mpaka wanafanya hayo yote ati wanaoa mabibi ili waingie UK.?!Mimi sipati yaani.!!

Mkwe niweke sawa kidogo ,hivi huko UK wanakuja kufanya nini,kumekaa kaaje yaani mkwe.!!Au ndio hao wanakuja kuwa vibaka huko.Hahahaah

Comment by Mama Malaika on February 25, 2012 at 21:58

CHIBIRITI ujue hata hapa UK kuna wa-mama (wazungu na pia asilimia kubwa sie tuliozaliwa Africa) wamekuwa wakilipwa maelfu ya pounds na Nigerians ili kufunga ndoa fake wapate kuingia Britain, baadae Home Office (uhamiaji) walikuja kugundua. Masharti yamekuwa magumu kwa nchi ya Nigeria sababu ilikuja kugundulika kuwa katika wanaume 100 wa Nigeria wanaofunga ndoa na wanawake wa kiingereza karibu wote huwaacha wake zao hata kabla ya kufikisha miaka 7. Ndio hapo UK government ikabadirisha spouse visa kwa wakazi wa Nigeria. Iwapo mkazi wa UK (uwe mzungu au mweusi) umeolewa na mume huko Nigeria basi ni lazima wewe mkazi wa UK uishi na huyo mumeo (ndani ya ndoa) huko Nigeria kwa mwaka mmoja kabla hujamleta UK. Pili... mkazi wa UK unapofunga ndoa na mtu toka nje ya nchi za EU unatakiwa kuwa na fulltime job, makazi (pakulala) na uwe na pesa nzuri ya kutosha na uonyeshe bank statements za mwaka mzima ndio utaruhusiwa huyo mumeo aingie UK. 

Na pia kumekuwepo na sheria mpya ya ufungishaji ndoa ambayo inafanya kuwa ngumu kwa mkazi wa UK kumleta mchumba wako kufunga naye ndoa nchini UK.

Sheria nyingine mpya ni kwamba mkazi wa UK ukiwa umefikia umri Senior Citizen (pensioner) ambayo kwa wanawake ni miaka 60 na wanaume 65 basi ukioa huko nje ya nchi wanachama wa European Union (iwe Bulgaria, Russia, Africa, Asia, America, etc.) usitegemee kumleta mkeo/mumeo UK. Unaruhusiwa aje kukutembelea muda mfupi tu na kurudi kwao na sio kuishi UK.

Basi tokea sheria hizi mpya zimewekwa, unaambiwa hakuna kijana wa Nigeria anayetaka kuoa mwanamke wa kisiwa cha kiingereza mwenye umri mkubwa. Nigerians wamegeukia kwa vibibi nchi za mainland Europe. Ndio hapo inajionyesha kabisa hawa watu Nigerians hawana mapenzi ya kweli wanapofunga ndoa na wanawake wakubwa.

 

Samahanini kwa GAZETI lefu.

Comment by Mama Malaika on February 25, 2012 at 21:52

Na huyu kijana akifikia umri wa miaka 40, huyu mama atakuwa bibi wa umri wa miaka 83. Hapo kazi ipo...

Comment by ILYA on February 25, 2012 at 0:41

Hahahah ,kweli kaka Chibiriti,mimi nakubaliana na wewe kija huyu si kwamba kadata saaaaaaaaaaaaaaana kwa bibi huyu,ana lake lengo tu kupitia kumuoa bibi huyu.Yaani naweza kusema katanguliza malengo yake tofauti na upendo halisi.Maana haingii akili ati huyo ndie anamdrive crazy boy huyu.Mimi naamini upendo si halisi baina yao,kuna biashara zilizolengwa zaidi na si ajabu akitimiza malengo yake akamtema bibi huyu,we utatembeaje nae kiaje huko kitaa,ukiulizwa je na masela wako:

Bibi yako hajambo mzazi???,utasemaje??!!! si unaweza kumharibia mtu shingo yake,hahahahah.

Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on February 24, 2012 at 21:02
@ Eddi, tunazungumzia kuhusu makaratasi sio uraia....ili uweze kupata ruhusa tu ya kukaa Majuu. Watu hulipa hata kwa fedha ili apate hayo makaratasi, tena usikute huyu Mama kalipwa kabisa hapa!

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*