Tulonge

Nini ilikisibu ATMs za CRDB leo?

  • Kutoa pesa ilikua ni bahati tu.Zinaweza toka au zisitoke.
  • Baadhi ya kadi zilimezwa.
  • Wapo walio katwa pesa zao japo hazikutoka kwenye ATM.

Mzee mwenye suruali nyeupe akionekana kuishiwa nguvu baada ya kujaribu kutoa hela bila mafanikio na mwisho kadi yake kumezwa katika ATM ya CRDB Tawi la Vijana , Mtaa wa Lumumba. Ilibidi apumzike kwenye chumba cha ATM ili apate nguvu za kuondoka.Alionekana kuhitaji sana hela hizo, sijui alikua ana shida gani. Mbaya zaidi leo ni siku ya mapumziko, hivyo tawi hilo lilikua limefungwa.

Kwa mujibu wa wateja waliokuwepo eneo hilo, walidai kuwa wamezunguka ATMs nyingi za CRDB bila mafanikio.

 

Sina hakika kama Bank nyingine kulikua na tatizo hili.

Views: 569

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on July 9, 2012 at 8:48

DAH POLE YAO WALIOKUMBWA NA MKASA HUO

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*