Tulonge

Njia mbalimbali za kumuombea Mandela zinatumika kwa sasa, huyu ametumia hii.

Artist Sudarshan Pattnaik gives finishing touches to a sand sculpture of former South African President Nelson Mandela with a message, at a beach in Puri - AP

Views: 478

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Monica Male on June 28, 2013 at 14:22

Sawa kabisa Dada Hellen huyu mtu anatimiza amri ya Mungu ya kumpenda kwanza jirani kama alivyompenda Mandale kwa vile anamwona ndio anaweza kumpenda Mungu asiyemwona pia.

Kwasababu kama huwezi kumpenda unamwona utampendaje usiyemwona?

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on June 28, 2013 at 13:29

Monica, nimeliona swali lako. Nimelipenda sana. Kwa sababu upendo wa kimungu ni wa rohoni, si wa kuona kwa macho. Ila MATENDO pia yanahusika. Ubarikiwe sana.

Comment by MGAO SIAMINI,P on June 28, 2013 at 12:53

imependeza we ni msanii

Comment by Tulonge on June 27, 2013 at 20:51

Teh teh teh Dada Hellen umeliona swali la Monica?

Comment by Monica Male on June 27, 2013 at 15:13

Kwani nani kakwambia hampendi Mungu? Kwani wewe dada hellen nani anajua kama unampenda Mungu si kila mtu na moyo wake?

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on June 27, 2013 at 10:15

Hakika msanii huyu alimpenda Mandella kwa moyo wake wote, na sasa anaonyesha kwa akili zake na kipaji chake. Laiti angempenda Mungu kama hivi au zaidi ya hivi. Bila shaka malaika wangeshangilia sana! Anastahili pongezi kwa utaalamu wake.

Comment by Christer on June 27, 2013 at 9:48

Ooooooh............May God bless the work of your hands kaka.

Get better soon Mandela.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*