Tulonge

P-Square watua Bongo tayari kwa onesho Leaders Club kesho


 Mwanamuziki wa kundi la P - Square,
Paul Okoye akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Kambarake Nyerere, Tayari kwa ajili ya kutoa burudani kwa
Watanzania, Msanii huyo aliambatana na Pacha wake Peter Okoye ambao kwa
pamoja wanaunda kundi la P- Square. Wasanii hao wameambatana na wenzao
13 ambao watatoa burudani jumamosi ya tarehe 23 Novemba. Tamasha hilo
limeandaliwa na East African Radio na EATV na kudhaminiwa na Vodacom
Tanzania.

 Wanamuziki wa
kundi la P- Square Peter na Paul Okoye wakisalimiana na Mtangazaji wa
kiruo cha Televisheni cha EATV, mapema baada ya kuwasili katika Uwanja
wa kimataifa wa Mwalimu Nyerer e jijini Dar es Salaam. Wasanii hao
wameambatana na wasanii wengine 13 kutoka katika bendi yao. Tamasha hilo
limeandaliwa naEast African Radio na EATV na kudhaminiwa na Vodacom
Tanzania.


 Mwanamuziki
wa kundi la P- Square Peter Okoye akizungumza na waandishi wa habari,
mapema baada ya kuwasili katika Uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Nyerer e
jijini Dar es Salaam. Wasanii hao wameambatana na wasanii wengine 13
kutoka katika bendi yao.  Pamoja nao katika picha ni pacha wa msanii
 huyo Paul Okoye ambao kwa pamoja wanaunda kundi la P - Square Tamasha
hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.


Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akizungumza na
wasanii Peter na Paul Okoye punde baada ya kuwasili katika Uwanja wa
kimataifa wa Mwalimu Nyerer e jijini Dar es Salaam. Wasanii hao
wameambatana na wasanii wengine 13 kutoka nchini Nigeria.


Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu  na Afisa Udhamini
na Matukio wa kampuni hiyo  Ibrahim Kaude, wakiongozana na wasanii Peter
na Paul Okoye punde baada ya kuwasili katika Uwanja wa kimataifa wa
Mwalimu Nyerer e jijini Dar es Salaam. Wasanii hao wameambatana na
wasanii wengine 13 kutoka nchini Nigeria.

Via: gabrielkilamlya.blogspot.com

Views: 320

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on November 23, 2013 at 9:54

TENAAAA CHA KUMBE ULIKUWA HUJUI KUWA TULONGE NI MUUNGWANA.

Comment by Tulonge on November 22, 2013 at 21:40

pa1

Comment by CHA the Optimist on November 22, 2013 at 18:32

Safi sana Dismas, sisemi safi kwa hii news ya akina P-Square, bali nasema safi kwa sababu ya kuwa muaminifu  kwa kuonesha vyanzo vya habari fulani--hili nimekuwa nikilifuatilia kwa kipindi kirefu. Safi sana, wengine huwa  hawaoneshi au kusema wamepata wapi habari wanazozi-publish, kitu ambacho si cha kiungwana kabisa. Yani wao kila habari wameitafuta. Big Up Sana!

Comment by ANGELA JULIUS on November 22, 2013 at 15:03

karibuni Psquares

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*