Tulonge

Pale Rais wa Angola alipomlipa Mariah Carey bilioni 1.6 kwa onesho la dakika 120

Vikundi vya kutetea haki za binadamu Angola vilikuja juu kufuatia onesho alilofanya mwanamuziki maarufu Duniani Mariah Carey kwa ajili ya Rais Josè Eduardo Dos Santos kwa muda wa masaa mawili na kulipwa dola milioni 1 ambazo ni sawa na sh. bilioni 1.6 za Kitanzania. Onesho hilo lilifanyika katikati ya mwezi desemba mwaka huu kabla ya xmas.

Vikundi hivyo vimemlaumu Rais kwa kuendekeza anasa wakati wananchi wake wengi wanaishi maisha duni. Pia amekua akishutumiwa kwa kuwaua wanasiasa, wanaharakati na viongozi ambao watakwenda kinyume na msimamo wake hata kama haufai.

Rais Dos Santos kulia akiwa na familia yake pamoja na Mariah Carey(mwenye gauni jeupe katikati)

Views: 1428

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by jemadari mimi on January 4, 2014 at 12:19

jamani mbona naona kiza mbele yangu,na machozi yananitoka kwa jinsi tunavyo fanyiwa waafrika  na tunaowaita viongozi wetu,tuliwachagua na kuwapa madaraka. leo hii wanatuona hatujui kitu na wala hatuna thamani tena kwao,wanatumia pesa zetu wanavyotaka wao bila ya kujali wananchi wao,hakika afrika ya leo vita haviwezi kwisha 

Comment by ANGELA JULIUS on January 4, 2014 at 9:24

mh mama Malaika umenigusa sana na hii Quote yako kuwa mwanadamu ili ukumbukwe si fedha wala utajiri ulionao bali alama utakazoacha mioyoni mwa watu.

Comment by Mama Malaika on January 3, 2014 at 22:15
katika maisha ya mwanadamu kitu kikubwa kitachofanywa ukumbukwe si fedha na utajiri, bali alama utakazoacha kwenye mioyo ya watu
Comment by Zainabu Hamis on January 3, 2014 at 19:22

It will take ages for Africans to change.

Comment by Mjata Daffa on January 3, 2014 at 17:41

thank you for your quick understanding ndio maana nawapenda wanatulonge ni wepesi kuelewa. 

kwakweli mtu yeyete unapoona jamii fulani inanyanyaswa kwa sababu ya imani yao lazima ikuume ndiomaana mm na ww imetugusa nakuchangia mada hii.

hebu sote tuungane kwa nguvu zetu zote kumlaani huyu Rais asiye na huruma kwakutumia mamiloni ya pesa kwaajili yakufurahisha familia yake. nadhani ile adhabu aliyopata GADAFI na wananchi wake ilistahili apewe huyu na sio GADAFI

Comment by Mama Malaika on January 3, 2014 at 17:03

haa haa haa haa haaa.... Mjata hujanikwaza kitu na wala sikukufikiria hivyo. Usihofu kabisaaa.

Wana harakati wanatetea na kukosoa/kemea. Tatizo linakuja, wana harakati hawa hawana nguvu kumfanya raisi na sirikali yake kuacha vitendo hivyo vya unyanyasaji, na wala hawana political power kumng'oa raisi Dos Santos na sirikali yake hivyo walichofanya ni ku-raise awareness kwa kutumia mainstream media ili international community wajue waislamu wa Angola wanapata shida kama vile waislamu wenzao huko Myamar/Burma (The Rohingya) na waislam Xinjiang wa China (The Uighurs) wanao pigwa, chomwa moto na kuuawa na sirikali za nchi zao ambako UN imeingilia kati hivi karibuni.

Comment by Mjata Daffa on January 3, 2014 at 14:47

Mama M, binafsi sijasikia kemeo wala kuona juhudi yoyote iliyofanywa na wanaharaki pale amri yakuvunja miskiti ilipotolewa, labda mm nilipitwa nahiyo habari kama kweli walinyanyua sauti zao kukemea uovu huo basi watakawa balance ktk kushughulikia matatizo ya binadamu.

Pia nikuombe radhi mama M maana naona kama vile nimekukwaza, the way ulivyo nijibu mm badala ya kuchangia /Comment juu ya mada husika

Comment by Mama Malaika on January 3, 2014 at 13:24
Mjata... Wana harakati tayari wameshatoa kwenye BBC Panorama and Dispatches ( Channel 4) kuhusu habari ya misikiti na waislamu wa Angola. Humo utaona maovu mengi na si waislamu tu wa Angola, bali hata wakristo, Hindu, Sikh wa huko Middle East. etc. nao wana matatizo. Wana harakati wengi wanaitumia Aljazeera, Panorama na Dispatches kufichua maovu duniani nzima bila kujali dini, rangi ya ngozi au siasa.
Comment by Mjata Daffa on January 3, 2014 at 9:37

Mimi niko tofauti kidogo naomba niwaulize hawa wanaharati za binadamu walikuwa wapi pale RAIS huyu alipo amuru MISIKITI yote nchini KONGO ivunjwe? matumizi mabaya ya fedha na Kuwanyima wananchi uhuru wa kuabudu lipi baya zaid? 

Nawashauri hawa wanharakiti wasifanye kazi kwa maslahi yao pia lazima wajue ku balance mambo/matukio. 

Comment by Mama Malaika on January 2, 2014 at 23:39
Na hiyo pombe kama ni "Chimpumu" na mie naomba @ CHA. Yaani viongozi wa Africa ni wauwaji kupita maelezo. Sijui kukiwa na maraisi wengi wanawake barani Africa itasaidia kidogo??? Sipati jibu

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*