Katika picha 22 alizopost kwenye page yake ya instagram staa wa soka kutoka Manchester United Robin van Persie, picha moja wapo ni aliyopiga na staa wa mpira wa kikapu Mtanzania Hasheem Thabeet October 7 2013 na kuandika ‘ilikua poa kukutana na big man Hasheem Thabeet’ kisha akaweka alama ya mpira wa kikapu na mpira wa miguu.
Add a Comment
Hahahahahaaa umepinda wewe Kunambi
bado tulonge sasa kurushwa na Obama nakuombea dua mdogo wangu
Imekaa vizuri hii!!!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge