Msanii wa filamu Tanzania Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa amekunjwa na mwalimu wake wa mazoezi. Lulu ambaye anakabiliwa na kesi ya kumuua Steve Kanumba, amekua akionekana kujihusisha na ufanyaji mazoezi ya nguvu kwa nia ya kuweka mwili wake vema.
Lulu akipiga msamba wa hatari

You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge