Taswa Queens wenye sketi za rangi ya machungwa, Mongo Movie wenye njano.
Leo kulikua na mchezo wa pete wa kirafiki kati ya Bongo Movie na Taswa Queens ambapo Taswa waishinda magoli 38 kwa 10. Pia kulikua na mechi ya mpira wa miguu kati ya Bongo Movie na Taswa ambapo Taswa walibugizwa goli 2-0.



Hapa timu za soka za Bongo Movie (wenye njano) na Taswa wakisikiliza maneno machache kabla ya mchezo kuanza toka kwa refarii ambaye ni Ali Kiba (Mwanamuziki wa Bongo Fleva).
Chanzo: othmanmichuzi blog
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge