Add a Comment
Mission ya serikali hiyo. Lengo lilikuwa kumuondoa duniani kwa sababu amekuwa mwiba kwa Serikali ya Kikwete. Ila Mungu ni mwema atapona na kila lililojificha litajulikana. Kwa upande wangu Ulimboka ni shujaa kwa sababu amepigania maisha ya watu, ila kwa walio na upeo finyu hawawezi elewa kwa nini nasema Ulimboka ni shujaa. Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ni mwema. Namuombea apone haraka
POLE SANA ULIMBOKA KWA MAAFA YALIYOKUKUTA, MUNGU ANYOSHE MKONO WA BARAKA KWAKO ILI UPONE ..............
DAH SINA USEMI ZAIDI YA KUMTAKIA APONE HARAKA AENDELEZE MAISHA YAKE SALAMA SALIMINI NA FAMILIA YAKE. KILA LAKHERI DOCTOR ULIMBOKA NAKUOMBEA UPONE HARAKA AMEIN
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge