Tulonge

Picha 7 za Rihanna zilizosababisha atimuliwe msikiti wa 'Sheikh Zayed Grand' huko Falme za Kiarabu

Msanii mahiri Duniani wa miondoko ya pop Rihanna, juzi alitoa kali pale alipopiga picha akiwa kwenye mapozi yaliyosemekana kutoendana na sheria za msikiti wa Sheikh Zayed Grand Mosque na uislam kwa ujumla. Hali hii ilipelekea 'star' huyo kuombwa kuondoka eneo hilo. Msikiti huo uliopo mji wa Abu Dhabi huko Falme za Kiarabu ni maarufu huwa ni kivutio kwa wageni wengi katika mji huo.

Soma zaidi: DailyMail

Views: 2167

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on October 26, 2013 at 16:11
Hiyo Sheikh Zayed Grand Mosque hawakupasa kufanya kivutio cha utalii. Kuna picha za Grand Mosque kwenye baadhi ya leaflets ambazo huwa zapigwa kipindi cha mashindano ya magari Formula One (The Abu Dhabi Grand Prix) hutoamini kama ndio Grand Mosque jinsi vidosho wa kizungu wanavyovyaa na ku-pose. Hilo pose la Rihanna halioni ndani..... Au kwa kuwa Rihanna ni ngozi nyeusi?
Comment by ANGELA JULIUS on October 25, 2013 at 11:27

ah unafikili nina ubishi hapo Rihana funika bovu ametokelezea kiukweli angali i was a first person to comment na kiukweli nimempa sifa zake hapo ni sawa na jambazi kaingia nyumbani kwa mwizi lol ha ha ha

Comment by Dixon Kaishozi on October 25, 2013 at 8:30

Hakuna kitu.. unajitetea tu!! Hata kama ni pajama.. hiyo hijabu na MPASUO wote wa nini mpaka kuonyesha hilo PAJAMA? hahahaa... bado rihana kavaa vizuri kuliko hata huyo muharabu mwenyewe... @ Angela!!!

Comment by ANGELA JULIUS on October 24, 2013 at 14:56

lol mama Malaika na Dixson wote kumbe hamuoni hilo siyo paja wala skintight hiyo ni pajama na imeonekana kwa sababu nguo yake imepulizwa na upepo mwanana wa arabuni.

Comment by Mama Malaika on October 24, 2013 at 8:48
Dixon kumbe ingawa huoni vizuri bado uko mpiga chabo mzuri haswa hadi umeliona hilo paja la mdada nyuma ya Rihana picha ya pili. Ha haaa haaaa haaaaa....
Comment by Dixon Kaishozi on October 24, 2013 at 8:16

Kibelaaaaaaaaaaaaaa.... Ingawa nina matatizo ya macho ila hizi pic nimeziona hahahahaaa !! Hebu angalia picha ya KWANZA KABISA!! myuma ya Rihana kuna dada amepiga gauni lina mpasuko na PAJA LIPO NJE ingawa kavaa "skin tight" lakini paja lote lipo nje.. SASA KOSA LA RIHANA NI NINI ? tena kapiga fresh kabisa wala hajaa acha mwili nje.. WAZUSHI TU!!!

Comment by ANGELA JULIUS on October 23, 2013 at 17:00

HA HA HA HA KIBELAA HUJAONAAAA KWELIIIII AU ? MANAKE MACHO YAKO SI ULINIAMBIA HUONI VIZURI WEYE INA MAANA HADI LEO HUJAPATA TIBA?

Comment by Dixon Kaishozi on October 23, 2013 at 15:01

Sijaona ubaya wa pic hizi.....

Comment by Chikira Chikira on October 22, 2013 at 20:04

Frankly I do not see the problem with this! in the first place I thought would be an isulting photos, but as I can see, to me its ok!

Comment by ANGELA JULIUS on October 22, 2013 at 8:13

Kunambi lol wewe hufai hata kidogo kumbe aje tena apigie chumbani wako sidhani kama angetoka kama alivoingia ha ha ha

@ Habiba umeona eeeee ila kiukweli kapendeza

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*