Tulonge

Picha 8 za mwanamke mwenye rasta ndefu ajabu

Asha Mandela (47) kutoka Atlanta, Georgia amefuga nywele hizo kwa miaka 25. Inasemekana zina urefu wa futi 55. Asha amegoma kuzikata nywele zake licha ya kushauriwa na madaktari kutokana na madhara ya kupooza ambayo anaweza kuyapata. Alisema nywele hizo zimekua kama sehemu ya mwili wake, ni maisha yake hivyo kamwe hawezi kuzikata.

Asha huzichukulia nywele hizo kama mtoto wake. Humchukua siku mbili kuziosha na kuzikausha nywele hizo.

Views: 5465

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on August 28, 2013 at 0:32
Lol.... Dismas usinichekeshe. Mapenzi hayana dawa. Hata wewe ungezaliwa na kukulia hapa siajabu ungekuwa kama Obama na Michelle. Teh teh teh....
Mama Manka... Sijui utaweza? Maana ni zaidi ya kumbikumbi. Lol....
Comment by manka on August 27, 2013 at 21:39
mama malaika wewe usije niponza nidai talaka,nije kutafuta mwengereza lol! tehetehe kupendwa raha jamani
Comment by Agnes Nyakunga on August 26, 2013 at 9:26

Da Angela mie napenda sana nywele ndefu napia huwa zikifikia urefu fulani huwa na mashaka nazo je nitaweza kuzimudu katika usafi si unajua wakati mwingine unakuwa bize hata ule muda wa kwenda salon unakosa, so lazima kiharufu fulani kinapita!

Comment by ANGELA JULIUS on August 26, 2013 at 8:56

Dada Agnes umeonaaaa huyu si wa kawaida kabisa.

Comment by Agnes Nyakunga on August 26, 2013 at 8:47

hata kama mwanamke unywele duh imetisha sana tena uchafu!

Comment by Tulonge on August 24, 2013 at 22:21

Duuh! Mama huyo mumeo ni noma. Hadi hospital alikufuata!!! kweli kakolea kwa mtoto wa kitanzania teh teh teh. Au ulimfanyia yale mambo yetu ya Sumbawanga teh teh teh

Comment by Mama Malaika on August 24, 2013 at 16:58
Wee acha tu Dismas... hawa watu ndio walivyo. Miaka yote 17 yakuwa pamoja tokea twamaliza university bado hachoki, twaongozana karibu kila pahala iwe sokoni wote, hadi siku niko hospital najifungua wanangu alikuwepo kanishika mkono ashuhudia kila kitu.
Comment by Tulonge on August 24, 2013 at 16:05

Binafsi najionea karaha tu.Wakati wa kulala sijui anazitupia uvunguni?

Halafu Mama Malaika huyo mumeo noma, yani anakufuata hadi saloon!!!

Comment by Mama Malaika on August 24, 2013 at 14:20
Mjata Daffa nimekuelewa. Ila kusema kweli mume wangu asingeni support kuwa na mzigo huu wa nywele, angenishauri nizikate mapema kwa usalama wa afya yangu kwani hizo nywele tosha kusababisha nerves & muscle strain from your neck hadi kwenye lower back, siku ya siku asubuhi wataka nyanyuka wajikuta vertabral column yashindwa ku-support mwili (upper body part), wakimbizwa hospital mara doctor asema kuwa umepooza. Nafikiri hiyo ndio sababu kubwa hao doctors kumwambia huyu Asha akate nywele zake kuepusha madhara ya kupooza.
Comment by Mjata Daffa on August 24, 2013 at 12:11

Unajua dada suala la jogoo kuwika nakuto kuwika inategemea na mtu anawikishwa na nini, wengine akiona nyele kama hizo jogoo akianza kuwika hakuna wakumtuliza, suala lakupenda ni mtambuka kuna watu wanapenda hatakama penzi hilo litawauzi wengine yeye hajali muhimu kwake ni katosheleza mtima wake tu. angali yule mjinga aliemtulija jogoo wake kwenye mdomo wa mtoto mdogo watu tumelaani lakini yeye tayali keshamtuliza jogoo wake.

Mama malaika na wewe unasema mwenye mume hawezi kufuga nywele kama huyu. usi generalize huenda huyu mumewa ndioanapend awe hivi k

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*