Tulonge

Picha 8 za mwanamke mwenye rasta ndefu ajabu

Asha Mandela (47) kutoka Atlanta, Georgia amefuga nywele hizo kwa miaka 25. Inasemekana zina urefu wa futi 55. Asha amegoma kuzikata nywele zake licha ya kushauriwa na madaktari kutokana na madhara ya kupooza ambayo anaweza kuyapata. Alisema nywele hizo zimekua kama sehemu ya mwili wake, ni maisha yake hivyo kamwe hawezi kuzikata.

Asha huzichukulia nywele hizo kama mtoto wake. Humchukua siku mbili kuziosha na kuzikausha nywele hizo.

Views: 5020

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on August 24, 2013 at 11:29
Haya wenye vipilipili kazi kwetu. Teh teh....... Ila Bi Asha nampa hongera maana hizo siku mbili anazotumia kuosha na kukausha hizo nywele mie nisingeweza. Yawezekana ana muda wa kutosha na hana mume, kwa wengine ambao tuko busy (na waume & watoto) ile uko bafuni dakika 10 tu waosha nywele tayari wameku miss wanaanza kukuita. Na nikisema niende Hair Salon, na mume naye yuko pembeni yangu ataka twende wote, haya ningewezea wapi???
Na kipindi cha summer kulivyo na humid jijini Atlanta sijui ana mudu vipi na hizi nywele. Nimemnyanyulia kofia
Comment by MGAO SIAMINI,P on August 24, 2013 at 11:10

hiyo minywele noma

Comment by ANGELA JULIUS on August 24, 2013 at 10:30

KAKA MJATA HATA KAMA KUNA KIASI CHA NYWELE NDUGU YANGU ZA HUYU ZIMEZIDI HV HATA KAMA NDO UNAKUTANA NAYE KWA MARA YA KWANZA JOGOO KAWIKA THEN UNAKUTANA NAYE KIUHALISIA LAZIMA JOGOO AZIME MANAKE ANATISHA SANA LABDA KAMA NA WEWE ZIMERUKA KIDOGO.
UMAARUFU LAZIMA AMEUPATA ILA SASA KWA WALE WASTARABU WATAKUWA WAKIMWANGALIA KWA JICHO LA TATU

Comment by Mjata Daffa on August 24, 2013 at 10:17

any way kila mtu anatafuta wapi atokee, nadhani dada huyu ameamua kuoka kwa staili hii tusimghasi tupe nafasi huenda akatangazwa ndie mtu mwenye nywele ndefu kuliko wote duniani, 

Angela huoni atakuwa ametoka kwa mtindo huo? kinachonipa tabu nihilo suala lakupooza otherwise kwa mwanamke kufuga nyele ndufu mm sinapingamizi.

Comment by ANGELA JULIUS on August 24, 2013 at 10:10

SI UMEONA HATA MAJIBU YAKE HAYANA SENSE YOYOTE ILE PAMOJA NA KUSHAURIWA NA DAKTARI

Comment by ANGELA JULIUS on August 24, 2013 at 9:49

KAKA SAMWELI HUYU SIDAHNI KAMA NI SIFA TUU, HIVI UMEMWANGALIA KWA MAKINI LAKINI UTATAMBUA KUWA SI MTU WA KAWAIDA, SOME TIMES MAVAZI YAKO AU STYLE YAKO YA NYWELE AU ULAJI WAKO WA CHAKULA AU HATA MLIO WA SIMU UNAWEZA KUKUFAFANUA WEWE NI NANI NA PIA TABIA YAKO IKOJE.

MWANGALIE PAJI LAKE LA USO

MWANGALIE MKONONI AMEWEKA TATOO

MWANGALIE VIDOLE VYAKE AMEVAA PETE ZA AINA GANI

HAPO UTAPATA JIBU MIMI KWA UPANDE WANGU HIZI NYWELE ZANGU TUU KUOSHA ISSUE SASA YEYE ANAZIOSHAJE KAMA SI MAUZAUZA. TAFAKARI CHUKUA HATUA

Comment by Samwel Mnubi Masatu on August 24, 2013 at 4:58

anataka misifa tu

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*