Tulonge

Picha tano za shindano la Bibi mlimbwende huko Brazil

Shindano hili lilifanyika huko Brazil na lilishirikisha wazee wenye umri wa miaka zaidi ya 60. Kulikua na jumla ya washiriki 200 ambapo kati ya hao mshiriki mkubwa kuliko wote alikua na miaka 87. Sababu kubwa ya shindano hili ni kuwapa furaha wazee hao na kujisikia kua bado wanacho cha kujivunia mbele ya jamii licha ya umri wao kuwa mkubwa.

Irenilda de Oliveira Meneses ndiye aliibuka kidedea. Ana miaka 65 na watoto wawili

Wakionesha manjojno jukwaani.Naona wengine bado mashalah kabisa.Unamuona huyo wa kulia?

Wakijiaandaa kabla ya kupanda jukwaani

Views: 339

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on June 26, 2013 at 18:19

haya jamani wajiandae mabibi wa tz ntaitisha mashindano

Comment by David Edson Mayanga on June 26, 2013 at 13:02

mh makubwa ngoja nikauzurie nijichagurie mrimbwende mmoja huko

Comment by Christer on June 26, 2013 at 8:04

Mmmmmmh ulimbwende umeingiliwa

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*