Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee kushoto akipambana na Bongo Movie Star Jacqueline Wolper katika mchezo wa Tamasha la Matumaini uliofanyika uwanja wa Taifa Dar leo. Matokeo ya mchezo huu yalikua ni sare.
Wolper akielekea ulingoni kwa mbwembwe
Mh. Mdee akielekea ulingoni huku akisindikizwa na Mh. Nassari nyumba yake
Matokeo yakitangazwa, ambayo yalikua ni sare
Mpambano mwingine ulikuwa ni kati ya Mh. Ester Bulaya (kulia) Mbunge wa Viti Maalum CCM Mara na Bongo Movie Star Aunt Ezekiel (kushoto). Matokeo yalikua sare
Add a Comment
Taarifa iliyokwisha tolewa ni kwamba pesa inayo patikana ni kwa ajili ya mfuko wa elimu hasa kuwasaidia watoto wa kike kupata mabweni na vyoo!!! @ Dada Monica!!
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge