Kwa siku mbili au tatu zilizopita kijiji chetu cha tulonge kilikua kimya sana, hakuna jipya lililoonekana hapa. Hii ni kutokana na kubanwa na majukumu mengi kwa Mwenyekiti 'Admin' hivyo kushindwa kuwajuza yaliyojiri ndani na nje ya Tanzania. Kesho nitaendelea kuwahabarisha kama kawaida. Unaweza kupitia video, mijadala, makundi, picha na vingine vingi tulivyo navyo hapa Tulonge.Poleni
Add a Comment
Asante mama
Cha mimi si mvivu bana, nafanya kazi kama punda. Sema kuna ishu zilikua nje ya uwezo wangu
Hahahahahaa Jeath umepinda wewe, hao watoto watakaomuona baba yao bwege na wao watakua mabwege zaidi.
Thnx kwa pongezi pia
Teh teh teh Dixon mimi nafanya mazoezi kuliko alivyokua Tyson kipindi hicho.Sema kuna mambo yaliingiliana.
Dismas acha uvivu; sisi enzi zetu wakati vijana tulikuwa tunafanya kazi kwenye ofisi ambazo zina feni, sasa wewe unafabnya kazi kwenye kiyoyozi halafu unachoka! Ingekuwa enzi zetu wewe usingepata mke!
Watoto baadaye wasikuone bwege.....kwa maana siku hizi mtoto akikua anauliza mzazi wake ...niambie wakati uko kijana ulifanya nini na nini ulifanikisha,,,???na naweza iga lipi kati ya yale uliyofanya???
Unajitahidi sana....hasa kutupa habari za ukweli siyo wale mablogger wanatuletea habari za mwaka jana wanazifnya eti ni brekingi nyuzzz!!!
Poa pamoja Dismas!
si mchezo kaka.....hizo tools za IT zote mtu 1????itabidi utafute PS ili afanye na mengineyo.
Komaa kaka ndo mambo!
sasa kama unachoka hadi nyumbani hapo kuna tatizo... teheheee.. Fanya mazoezi bwana!!!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge