Tulonge

Pumzika kwa Amani Askofu Moses Kulola

Askofu Mkuu wa Evangelistic Assemblies God Tanzania, Moses Kulola amefariki dunia.

Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika ambazo Gospel Kitaa imezipata kutoka kwa watu wa ndani wa familia hiyo, Askofu Kulola amefariki katika hospitali ya AMI (African Medical Investments) iliyopo Slipway jijini Dar es Salaam.

Askofu Kulola, ambaye amezaliwa mwaka 1928, amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu na hata kufikia hatua ya kupelekwa nchini India kwa matibabu. Katika uhai wake, amepata watoto wengi wa kiroho ikiwemo Dk Daniel Kulola, Mchungaji Florian Katunzi, Zakaria Kakobe, Mzee wa Upako, Maboya, Mwasota na wengineo wengi. Ili kufahamu historia ya maisha ya Hayati Askofu Dr. Moses Kulola, tafadhali bofya hapa.

Gospel Kitaa itaendelea kukufahamisha kwa kadri ambavyo taarifa zitakuwa zikitufikia.

BWANA ametoa na BWANA ametwaa, jina la BWANA lihimidiwe.

Views: 506

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on September 6, 2013 at 17:56

We love you, but GOD loves you more! Rest In Peace!

One Love One Heart and One Destiny!

Comment by David Edson Mayanga on August 30, 2013 at 13:02

REST IN PEACE KING LION 

Comment by Dixon Kaishozi on August 30, 2013 at 9:19

Rest in Peace!!

Comment by MGAO SIAMINI,P on August 29, 2013 at 21:20

huyu mzee maisha yake yalikua ni kuhubiri alikua kivutio kwangu mungu amlaze mahala pema peponi.

Comment by ANGELA JULIUS on August 29, 2013 at 17:22

PUMZIKA KWA AMANI BABA

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*