Rais Jakaya Kikwete amesema serikali haitasita kuwachukulia hatua wale wote wanaochochea chuki za kidini, wanaodharau vitabu Vitakatifu vya dini nyingine na wanaokejeli dini nyingine kwa kuwa vitendo hivyo vinatishia mustakabali wa tunu ya amani iliyopo hapa Nchini.
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge