Video na Michuzi Media
Add a Comment
RIP Kaka
Mungu amlaze mahali pema peponi, marehemu kumbe alikuwa bado kijana kabisa
Hakuna siku nilishokwa mshangao kama siku ambayo raisi alipokosekana kwenye mazishi yaliyofanyika Dec. 2008 ya Brigadier Alexander Gwebe Nyirenda (Dec. 2008) aliyepandisha na kuwasha mwenge mlima Kilimanjaro usiku wa Uhuru wa Tanzania (Dec 1961). Na hata kipindi chote aumwa cha miezi 18, mheshimiwa Kikwete hakuwahi fika muonana hadi anafariki.
Nyirenda ndio mtanzania wa kwanza kupata mafunzo ya kijeshi kwenye chuo kikubwa cha kijeshi nchini Uingereza kabla ya Uhuru wa Tanzania.
sawa mhe. ungekuja na kwenye mazishi ya mwangosi ungekuwa juu sana tungeamini kuwa una upendo wa dhati na wananchi tuliokuchagua
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge