Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Ali Mohamed Shein amewaongoza mamaia ya wananchi katika hitma mamalum ya kumuombea na kumkumbuka rais wa kwanza wa Zanzibar marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika afisi kuu ya CCM Kiswandui Zanzibar.
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge