Sikia sauti ya kumtoa nyoka pangoni hiyo mdau. Kumbuka Linah yupo katika kinyang'anyiro cha kumpata mwimbaji bora wa kike ndani ya Kilimanjaro Premium Lager Tanzania Music Awards. Waweza mpigia kura hapo chini. http://www.kilitime.co.tz/awards/2008/nominees_2007.php
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge