Tulonge

Tanzania yaitaka serikali ya Uingereza kutoa tamko kuhusu kashfa na udhalilishaji kwa viongozi wa Serikali ya TZ

Taasisi ya Human settlement of Tanzania-HUSETA- imewataka wananchi kujitokeza katika maandamano yatakayoanzia viwanja vya Mnazi mmoja hadi ubalozi wa Uingereza kuwasilisha azimio la kuitaka serikali ya Uingereza kutoa tamko hadharani la kutohusika na maovu yanayofanywa na baadhi ya raia wa nchi hiyo dhidi ya taifa la Tanzania ikiwemo kashfa na udhalilishaji kwa viongozi wa Ngazi za juu wa serikali.

Views: 501

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on March 5, 2013 at 12:03

Kwa sie tu watanzania tuishio Uingereza miaka mingi, tukija TZ mtu unatamani kurudi Britain kesho yake. Na ukijifanya mwingereza mweusi kufata procedures na hutaki kutoa rushwa basi utakuta likizo yako imekwisha na kitu ulichoenda fanya TZ hakijakamila iwe kibali cha kufungua biashara, kibali cha kujenga nyumba (building permit), kuunganishiwa umeme nyumbani kwako (TANESCO) hadi kutoa mzigo bandarini. Kila kona ni rushwa... rushwa... rushwa...

Comment by Mama Malaika on March 5, 2013 at 11:46

Christer.. umesema ukweli.

Waingereza kwao wamekulia system ambayo iko transparency, mambo ya njoo kesho kwao hayapo na ni mwiko, rushwa haipo na ni mwiko. Mambo ya utwana hayapo kabisa na ni jambo la kawaida ukiwa bank au hospital kuona mbunge/waziri amepanga foleni kufata taratibu kitu ambacho TZ haki-exist.

Kwa system iliyoko TZ, mama huyu wa kiingereza lazima alalamike.

Comment by Christer on March 5, 2013 at 10:24

Huo ndo ukweli ingawa umewauma. Waswahili wanasema CHUNGU lakini Dawa. Tanzania ifike sehemu ibadilike, huyo mama awezi sema maneno mazito kama hayo bila sababu kwani yeye ana chuki gani na Nnchi hii mpaka aipe kashfa? Ukweli unauma hakuna kuandamana mnapoteza muda tu, labda kama hamna kazi za kufanya na hamna kazi mkae na wake/waume zenu na watoto wenu majumbani kwenu mtulie, msituletee balaa.

Comment by Mama Malaika on March 5, 2013 at 8:50

Tukiambiwa ukweli tunachukia. Rushwa imetawala kila nyanja Tanzania kuanzia mgonjwa mahututi kupewa huduma ya haraka hadi chumba cha maiti Muhimbili, usipotoa rushwa basi maiti ya mpendwa wako haitohifadhiwa uzuri.

Comment by Geoffrey Masai on March 4, 2013 at 22:33
naomba unipatie baadhi ya kasha hizo kama ina wezekana unaweza kukuta mengine tunajitakia wenyewe.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*