Tulonge

Tazama maandamano ya wana Chadema baada ya Lema kuachiwa kwa dhamana (Video)


Mbunge wa jimbo la Arusha Mh. Godbless Lema amepandishwa kizimbani katika mahakama kuu kanda ya Arusha na kusomewa shitaka la uchochezi uliosababisha vurugu katika chuo cha uhasibu cha Arusha uliopelekea chuo hicho kufungwa kwa muda usiojulikana .

Views: 498

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on May 1, 2013 at 21:02

Huyu ni sawa na Mandela enzi za Makaburu au Luther King Jr wa USA, kwani kajitolea maisha yake bila woga na yuko tayari kufa ajili ya kupigania haki za walio wengi.

Comment by MGAO SIAMINI,P on April 30, 2013 at 8:45

sauti ya wengi ni sauti ya mungu

Comment by ANANGISYE KEFA on April 30, 2013 at 6:58

lema mwenyewe anakuambia hakuna dhambi mbaya hapa duniani kama dhambi ya uoga kwahiyo akiiogopa mahakama atakuwa anaenda kinyume na kauli yake mwenyewe.

Comment by Tulonge on April 30, 2013 at 0:14

Ni kama jamaa ameizoea mahakama hv, maana hana hata uoga.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*