Tulonge

Tazama mvua ilivyoleta madhara kwa wakazi wa Dar


Mvua ambazo zimeanza kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha madhara ambapo zaidi ya tani 20 za mchele zimeharibika baada ya maji kuingia katika moja ya duka lililopo pembeni mwa barabara ya Morogoro huku maduka mengine ya kilazimika kufungwa kabisa huku baadhi ya wapita njia wakilazimika kulipa kati ya shilingi 100 hadi 200 ili kuvushwa.

Views: 319

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on March 11, 2013 at 9:43

Mmmmh. aisee, poleni sana wakazi wa JIJI

Comment by Mama Malaika on March 9, 2013 at 23:24

mji hauna drainange system ya maji machafu wala ya mvua, viongozi na city planners wamekaa tu kama vipofu hawaoni vile kusema watafute ufumbuzi wa kutengeza system kwenye neighbourhoods.

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 9, 2013 at 13:31

DUU! poleni sana, Dar miundombinu bado

Comment by Alfan Mlali on March 9, 2013 at 9:32

ikinyesha mvua siku moja nzima dar kwishney

Comment by Tulonge on March 9, 2013 at 1:08

Jamaa wamepata hasara kweli. Ila madogo wamejipatia ajira ya fasta fasta kwa kuvusha watu

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*