Tulonge

Tazama video ya Dogo Asley feat. Chege "Umbea"

  • Kama hufahamu huyu ndiye star wa wimbo wa "Naenda kusema kwa mama" uliofanya vizuri sana.
  • Ana kipaji kikubwa cha kuimba na ana busara kama mtu mzima
  • Anaijali sana familia yake,aliwahi mpatia mamaye mtaji wa kuanza kufanya biashara.
  • Anamsaidia mamaye kujenga nyumba yao ambayo ipo Gongo la Mboto kwa kazi yake ya muziki

Views: 441

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on June 29, 2012 at 5:37

Mama kama una you tube down-loader waweza i-download moja kwa moja toka youtube.

Comment by Mama Malaika on June 29, 2012 at 2:19

Dismas wapi nitapata/download hii nyimbo? Naangalia kwenye itune store siuoni.

Comment by Mama Malaika on June 29, 2012 at 2:11

Asante sana nimeburudika, beats nzuri sana kwani napenda highlife music. Mungu azidi kum-bariki huyu kijana,ni wachache sana wenye akili ya kujali familia zao.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*