Tulonge

Uchaguzi Kenya: Haya ni matokeo ya kiti cha Urais kwa muda huu

Matokeo haya yametolewa na tume ya uchaguzi IEBC kupitia KBC

Views: 568

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by dauson katuritsa on March 8, 2013 at 18:35

LAILA AKILETA ZA KULETA AUAWE YEYE SIYO WAkenya KUFA.

Comment by ANANGISYE KEFA on March 8, 2013 at 17:51

nawapongeza sana wakenya kwa kiasi kikubwa uchaguzi umekuwa wa uwazi ingekuwa ni tanzania uchaguzi ukawa wa uwazi kama kenya chama cha magamba kingekuwa chaliiiiiiiiiiiii.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!? muda mrefu.

Comment by steward kalinga on March 8, 2013 at 17:40

wat doz dat figure ot 4rus! k, we ar prayin on behalfh of kenyan that a good leader is a pillar for dea national development, national integrity, peace, harmony and ol tins alike- But naamini fika uchaguz utarudiwa upya, na mimi ningekuwa mkenya kura yangu ingeongezka kwa Odinga_

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on March 8, 2013 at 17:08

Kazi kwao. Tuwaombee wampate kiongozi mzuri, kwa sababu amani ya jirani yako, ni yakom pia. Kukiwa na sekeseke kwa jirani yako huwezi kulala usingizi wa raha.

Comment by ANGELA JULIUS on March 8, 2013 at 16:31

HATA MIMI UTABIRI WANGU UNAMTABILIA KENYETTA KURA ZAKE ZINAPANDA TUU

Comment by Dixon Kaishozi on March 8, 2013 at 14:40

hii ngoma inarudiwa upya!!!!

Comment by Tulonge on March 8, 2013 at 14:21

Kenyatta atachuku tu, kwa sasa ana mil 4.9, Odinga ana mil 4.3

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 8, 2013 at 13:23

hawa wakenya wanaweza kurudia uchaguzi jamaa wanapambana kwelikweli

Comment by mathias mwita on March 8, 2013 at 13:03

mbona zinazidi kupungua za UHURU?!!!!!!!!!!!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*