Tulonge

Unafahamu kuwa wanawake wa Nigeria wanaongoza kwa kukosa uaminifu kwa waume zao?

Nigerian women have been ranked first in the world for being the most unfaithful partners in a relationship. According to the survey conducted by the manufacturers of Durex condom, 62% of the Nigerian women that were interviewed confessed to have cheated on their partners.

Other countries following Nigeria are;
Thailand second place at 59%
Malaysia third place at 39%
Russia fourth place at 33% and
Singapore fifth place at 19%

The result was also conducted among the their male counterparts and the rankings are as follows;
Thailand first position at 54%
South Korea second place at 34%
Malaysia third place at 33%
Russia fourth place at 32% and
Hong Kong fifth place at 29%

The survey results were based on interviews with 29,000 people in 36 countries.

Views: 454

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on February 9, 2012 at 11:05

Hahahahahah! Eddie we ni nouma nimeipenda hiyo.."Njia panda ya chini".

Lakini nadhani wangefanya utafiti hapa tanzania wasingepata majibu sahihi maana watanzania wanapenda ngono lakini ni waongo balaaa..hakuna atakayekubali kuwa aliwahi kutembea na mke au mume wa mtu hata umtishie kumuua hakubali....hahahahaha!

Comment by ANGELA JULIUS on February 9, 2012 at 8:03

ilya na mkweo mama malaika mmenivunja mbavu

Comment by Mama Malaika on February 8, 2012 at 22:15

Yaelekea waume zao hawawaridhishi huko vyumbani ndio maana hawa wanawake wanaenda nje ya ndoa zao.

Wangefanya survey na nchi za Ulaya siajabu hizo results za Nigeria zisingefua dafu. LOL......

Comment by ILYA on February 8, 2012 at 18:16

sielewi wanatumia njia zipi ili kuepukana na suala hilo la wadada au wanawake kuwafanyia ndivyo sivyo wanaume wao ikiwemo kuwasaliti mchana kweupe.Hii survey naikubali sana imetulia lakini siamini kama Nigeria ndio ya kwanza maana ikiwa hii kitu itafanyika dunia mzima,nchi zote zikachunguzwa na wakaulizwa wanaume na wanawake wote,basi kutapatikana majibu ya ajabu sana nadhani Nigeria inaweza pengine kupona kupoteza nafsi hiyo ya kwanza.Lakini kwa upande mwingine sina shaka kuwa Nigeria wanastahiki kuoata nafasi hiyo maana wanawake wa Nigeria hawajatulia sana,wanajifanya kuishi maisha kihollywood na kuishi maisha ya wanawake wa matawi ya juu.Kama huyu dada kwenye pic ,hebu mwangalie domo lake,hii inaonyesha kwamba alienda kuuza mapenzi,na anajua kuwa ni makosa,maana asingeshangaa namna hiyo kama hiyo kazi ingelikuwa imebarikiwa.

Watu kama Okwonkwo,Chinua Achebe,Nwanko na wengine wenye majina jamii hiyo wa kinigeria hawapendi mitabia hii.

Comment by ANGELA JULIUS on February 8, 2012 at 16:53

YANI EDDIE MWENZIO MIMI NIKISOMA COMMENT YAKOO TUU NA VIBRATE NA KUCHEKA SANA HA HA HA

Comment by eddie on February 8, 2012 at 16:24

Hahahah! @Tulonge nimefurahi kuona wengi humu ni watu wenye furaha.

Natumaini wengi hawanielewi vibaya....maana najitahidi kila niwezavyo nisionekane kama vile natukana.

Maana humu tuko watu wenye mielekeo tofauti na ya kiaina yake.

Nafurahi pia kama nimeweza kuwafurahisha kwa kauli yangu....kicheko au furaha huleta maisha marefu!

Asanteni sana!!

Tuko pamoja.

Comment by Agnes Nyakunga on February 8, 2012 at 13:09

hiyo ni noma!

Comment by Tulonge on February 8, 2012 at 12:19

Hahahaaaaa maneno ya Eddie huwa yananifurahisha sana, unakumbuka ishu ya "Abdalah Kichwa wazi".

Comment by manka on February 8, 2012 at 12:09

HAHAHAAAA, EDDIE !!

Comment by ANGELA JULIUS on February 8, 2012 at 12:06

EDDIE HA HA HA WEE CHIBOKO

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*