Tulonge

Video: Hii ndo mashine mpya ya kutambua madawa ya kulevya iliyofungwa uwanja wa ndege Dar(JNIA)

Serikali imefunga mashine mpya na za kisasa zenye uwezo wa kubaini aina yoyote ya dawa za kulevya na nyara za serikali kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar-es-salaam, lengo likiwa ni kudhibiti uingizwaji na upitishwaji wa mizigo uwanjani hapo,ambapo kuanzia sasa mizigo yote inayoingia na kutoka itakaguliwa.

Views: 409

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by manka on August 27, 2013 at 20:45
pole bi dada .
Comment by Mama Malaika on August 27, 2013 at 14:47
Usemayo ni kweli @ Dismas, labda Mwakyembe ahamishie office yake hapo airport. Pia Wawaongeze mishahara kwani ni midogo sana kulingana na maisha
Dixon... Roho mbaya sasa imekuwa kila sehemu bongo hata iwe hotels kubwa za kitalii wakiona mtanzania sura zinabadirika wanajivuta huku wamenuna utasema wamelazimishwa kufanya hiyo kazi. Hasa kwa mie mwanamke napokuta mwanamke mwenzangu mara nyingi inakuwa balaa, bora nikute mwanaume. Lol....
Comment by Tulonge on August 26, 2013 at 15:47

Unaweza shangaa madawa yakapita hapo hapo, labda Mwakyembe aje kukaa mwenyewe kwenye hiyo mashine.

Comment by Dixon Kaishozi on August 26, 2013 at 15:31

Washenzi tu hawa... Hapa kia wabongo tunafunguliwa mabegi yetu wakati wageni wanapita nayo bila hata kuangalia.. hamna kitu.. wanakua na roho mbaya wakiona mwenzao mtanzania karudi!!! Ipo siku nitatoa mtu roho!!

Comment by Mama Malaika on August 26, 2013 at 12:19
Dixon... Tanzania tunaingia na mizigo hawahangaiki kukagua, twabeba hadi mizinga 5 (per suitcase) whiskies ya zawadi badala ya chupa moja (kisheria). Teh teh teh..... Miaka ya 90 tulipokuwa twaingia walikuwa strict kwani wakati mwingine wanakwambia fungua sanduku ili waone nini umebeba
Comment by Dixon Kaishozi on August 26, 2013 at 11:11

Nimeshangaa kusikia kuwa kipindi cha nyuma.... walikuwa hawakagui mizigo iliyokuwa inaingia... TAFAKARI...

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*